MAFUNZO YA eCMS KWA WADAU NA MAWAKILI
Mhe. J. Minde Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara katika picha ya pamoja Mawakili na Wadau waliohudhuria mafunzo ya mfumo wa eCMS ambao unatarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni.
Home / Events
Mhe. J. Minde Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara katika picha ya pamoja Mawakili na Wadau waliohudhuria mafunzo ya mfumo wa eCMS ambao unatarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni.
Afisa Tehama Bw. Omary Mdakama, akitoa mafunzo ya jinsi ya kufile shauri kwa kutumia mfumo wa kielektroni (eCMS) kwa Mawakili na Wadau mbali mbali, mafunzo hayo halifanyika tarehe 13/10/2023 ambayo yaliandaliwa na Ofisi ya Naibu […]
Afisa Tehama Bw. Omari Mdakama, akitoa mafunzo kwa Mawakili na Wadau kuhusu Mfumo wa eCase Management System jinsi ya kusajili Mashauri kwenye mfumo huo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Naibu Msajili Mh. Joyce Minde na yalifanyika […]
Manaibu wasajili wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Maafisa Tehama wakiwa kwenye mafunzo ya mfumo wa eCMS yaliyofanyika katika kituo jumuishi huko Arusha.
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi Mhe. Joachim Tiganga wa kituo jumuishi kanda ya Arusha kwenye picha ya pamoja na Mheshimiwa msajili Mkuu Mhe Wilbert Chuma, Msajili ya Mahakama Kuu Mhe Sharmilla Sarwatt na Manaibu wasajili wa kanda […]
Mhe Naibu Msajili na Maafisa Tehema wakihudhuria Mafunzo ya mfumo wa e case management yanayoendelea IJC Arusha,
The High Court, Commercial Division Library is equipped with research facilities such as books, law reports, updated legislation, judgment, rulings, journals and an on-line public access catalogue (OPAC) for the use by Judges, Judicial Officers […]
The waiting lounge for Advocates and other Visitors at the High Court of Tanzania-Commercial Division.