eCMS MAFUNZO KWA MAWAKILI NA WADAU
Afisa Tehama Bw. Omary Mdakama, akitoa mafunzo ya jinsi ya kufile shauri kwa kutumia mfumo wa kielektroni (eCMS) kwa Mawakili na Wadau mbali mbali, mafunzo hayo halifanyika tarehe 13/10/2023 ambayo yaliandaliwa na Ofisi ya Naibu Msajili Mh. Joyce Minde Mahakam Kuu Divisheni ya Biashara.