Home / Events / eCMS Training for Advocates

eCMS Training for Advocates

Afisa Tehama Bw. Omari Mdakama, akitoa mafunzo kwa Mawakili na Wadau kuhusu Mfumo wa eCase Management System jinsi ya kusajili Mashauri kwenye mfumo huo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Naibu Msajili Mh. Joyce Minde na yalifanyika tarehe 13/10/2023 katika Mahakam Kuu Divisheni ya Biashara Dar es Salaam.