Home / Events / MAFUNZO YA eCMS KWA WADAU NA MAWAKILI
MAFUNZO YA eCMS KWA WADAU NA MAWAKILI
Mhe. J. Minde Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara katika picha ya pamoja Mawakili na Wadau waliohudhuria mafunzo ya mfumo wa eCMS ambao unatarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni.