UFUNGUZI WA MAFUNZO YA eCMS (TOT)ARUSHA IJC
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi Mhe. Joachim Tiganga wa kituo jumuishi kanda ya Arusha kwenye picha ya pamoja na Mheshimiwa msajili Mkuu Mhe Wilbert Chuma, Msajili ya Mahakama Kuu Mhe Sharmilla Sarwatt na Manaibu wasajili wa kanda zote, katika ufunguzi wa mafunzo (TOT) ya mfumo wa eCMS ambayo yalianza tarehe 18 Machi, 2023 katika kituo jumuishi hicho.