Court Facilities

The waiting lounge for Advocates and other Visitors at the High Court of Tanzania-Commercial Division.

ZIARA YA MHE. JAJI MKUU

Jaji Kiongozi Mhe Mustapher Siyani akimsikiliza Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara Mr Benjamin Mlimbila mara baada ya ziara ya Jaji Mkuu Prof Ibrahim Hamisi Juma, katika mazungumzo hayo wapo Wah Majaji pamoja na Wasajili.

MH.JAJI MKUU ATEMBELEA DIVISHENI YA BIASHARA

Pichani Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibramih Hamisi Juma alipotembelea Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara kwa ziara fupi ya kikazi, katika ziara hiyo Mhe jaji Mkuu aliandamana na Jaji Kiongozi Mhe. Mustapher Siyani, pichani kwa pamoja wakiwa na Mhe jaji Mfawidhi Mhe. Cyprian Mkeha katika […]

SABA SABA 2022

Mhe Cyprian P. Mkeha Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Divisheni ya Biashara,akiweka saini kitabu cha wageni katika moja ya banda la Mahakama ya Tanzania kwenye maonyesho ya saba saba yaliyofanyika kwenye viwanja vya kilwa road, Dar es salaam.

SABA SABA 2022

Mhe Jaji Mfawidhi P. Mkeha wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na manaibu wasajili walipotembelea banda la Mahakama ya Biashara katika maonyesho hayo.

ARUSHA COURT SESSION

Coming Soon!!

2022 Law Week.

Hon, Judge Cyprian Mkeha (Judge in Charge of the Commercial Division) at the Law week exhibition.

News and Events

 • AMENDED RULES

  -GN 107 -THE HIGH COURT (COMMERCIAL DIVISION) PROCEDURE (AMENDMENT) RULES, 2019

   
 • RESOLVED COMMERCIAL CASES FROM JANUARY,2019 TO JUNE,2019-3

   
 
 

Judges, Court Administrator and Deputy Registrar

E-Library and Learning Resources Center

 • E-Library

  E-Library

  Use of electronic resources is currently in high demand in most Organizations. As a modern library it is equipped with online database including Electronic Journal Database, Tanzania Government Information Gateway and some other important users with different type. Mission Statement: To provide Library information efficiently, […]