ZIARA YA MHE. JAJI MKUU

Jaji Kiongozi Mhe Mustapher Siyani akimsikiliza Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara Mr Benjamin Mlimbila mara baada ya ziara ya Jaji Mkuu Prof Ibrahim Hamisi Juma, katika mazungumzo hayo wapo Wah Majaji pamoja na Wasajili.