eCMS (TOT) IJC ARUSHA
Manaibu wasajili wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Maafisa Tehama wakiwa kwenye mafunzo ya mfumo wa eCMS yaliyofanyika katika kituo jumuishi huko Arusha.
Home / Front-Slider
Manaibu wasajili wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Maafisa Tehama wakiwa kwenye mafunzo ya mfumo wa eCMS yaliyofanyika katika kituo jumuishi huko Arusha.
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi Mhe. Joachim Tiganga wa kituo jumuishi kanda ya Arusha kwenye picha ya pamoja na Mheshimiwa msajili Mkuu Mhe Wilbert Chuma, Msajili ya Mahakama Kuu Mhe Sharmilla Sarwatt na Manaibu wasajili wa kanda […]
Mhe Naibu Msajili na Maafisa Tehema wakihudhuria Mafunzo ya mfumo wa e case management yanayoendelea IJC Arusha,
The High Court, Commercial Division Library is equipped with research facilities such as books, law reports, updated legislation, judgment, rulings, journals and an on-line public access catalogue (OPAC) for the use by Judges, Judicial Officers […]
The waiting lounge for Advocates and other Visitors at the High Court of Tanzania-Commercial Division.
Jaji Kiongozi Mhe Mustapher Siyani akimsikiliza Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara Mr Benjamin Mlimbila mara baada ya ziara ya Jaji Mkuu Prof Ibrahim Hamisi Juma, katika mazungumzo hayo wapo Wah Majaji pamoja na […]
Hon, Judge Cyprian Mkeha (Judge in Charge of the Commercial Division) together with some of the Staff at the Law week exhibition.