Home / Events / MH.JAJI MKUU ATEMBELEA DIVISHENI YA BIASHARA

MH.JAJI MKUU ATEMBELEA DIVISHENI YA BIASHARA

Pichani Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibramih Hamisi Juma alipotembelea Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara kwa ziara fupi ya kikazi, katika ziara hiyo Mhe jaji Mkuu aliandamana na Jaji Kiongozi Mhe. Mustapher Siyani, pichani kwa pamoja wakiwa na Mhe jaji Mfawidhi Mhe. Cyprian Mkeha katika ukumbi wa mahakama hiyo kwa ajili ya kuzungumza na watumishi