Home / Events / SABA SABA 2022

SABA SABA 2022

Mhe Cyprian P. Mkeha Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Divisheni ya Biashara,akiweka saini kitabu cha wageni katika moja ya banda la Mahakama ya Tanzania kwenye maonyesho ya saba saba yaliyofanyika kwenye viwanja vya kilwa road, Dar es salaam.