Home / Events / SABA SABA 2022

SABA SABA 2022

Mhe Jaji Mfawidhi P. Mkeha wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na manaibu wasajili walipotembelea banda la Mahakama ya Biashara katika maonyesho hayo.